Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-
1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji
muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika.
2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low sex drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza ksiha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho >>( Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza mkao wa kimishenari ).<<
4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.
5-Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.
Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo.
Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba kabisa.
Post a Comment